Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) na Balozi wa
Marekani nchini, Alfonso Lenhardt wakikata utepe kuzindua rasmi mitambo
ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji vya Jeshi la Polisi na
Jeshi la Wananchi. Mitambo hiyo imefungwa kwa hisani ya Serikali ya
Marekani ambayo imegharimu Dola za Marekani milioni moja (1,000,000
USD). Redio hizo za mawasiliano zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja
na makosa yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa nchini.
Uzinduzi huo umefanyika katika Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji
jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia) na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt wakiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) ujumbe ulioandikwa katika bango baada ya kukata utepe kuzindua rasmi mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi. Mitambo hiyo imefungwa kwa hisani ya Serikali ya Marekani ambayo imegharimu Dola za Marekani milioni moja (1,000,000 USD). Redio hizo za mawasiliano zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na makosa yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi
wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi, Marekani pamoja na waandishi wa
habari kabla ya kuzindua mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo
vya Wanamaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi. Mitambo hiyo
imefungwa kwa hisani ya Serikali ya Marekani ambayo imegharimu Dola za
Marekani milioni moja (1,000,000 USD). Redio hizo za mawasiliano
zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na makosa yanayofanywa katika
maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika
Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam leo.
Balozi
wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt akitoa hotuba yake kabla ya
uzinduzi wa mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji
vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi. Wakwanza kutoka kulia
(aliyekaa) ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
Mitambo hiyo imefungwa kwa hisani ya Serikali ya Marekani ambayo
imegharimu Dola za Marekani milioni moja (1,000,000 USD). Redio hizo za
mawasiliano zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na makosa
yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo
umefanyika katika Kituo cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi
ya vifaa vya mawasiliano vilivyozinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi pamoja na Balozi wa Marekani nchini
Alfonso Lenhardt. Vifaa hivyo vya mawasiliano vitasaidia kukabiliana na
ajali pamoja na makosa yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa
nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika Kituo cha Kikosi cha Polisi
Wanamaji jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Felix Mwagara wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment