Tuesday, August 20, 2013

KIONGOZI WA UDUGU WA KIISLAM NCHINI MISRI AKAMATWA.
Anaitwa Muhammad Badie Kiongozi wa Udugu wa Kiislaam Nchini Misri ambaye anashikiliwa na Polisi.
Kiongozi huyu amekamtwa Jana Usiku katika Madinatoul Nassi. 
 
Amezaliwa : August 7, 1943 (Umri 70), El-Mahalla El-Kubra.

No comments:

Post a Comment