Saturday, August 17, 2013

Kumbukumbu : Futari iliyoandaliwa na Ubalozi wa Oman Nchini Tanzania 2013.
Balozi wa Omani Nchini Tanzania Mh Yahya bin Moosa Albakri akitoa Neno la Shukran kwa walio hudhuria katika Hafla hiyo.
Mc wa Hafla Al Akhiy Saleh Omar Saleh
Mh Balozi Yahya bin Moosa Albakri akijianda kutoa Neno katika Hafla.
Baadhi ya Wageni waalikwa katika Hafla hiyo na Mh Balozi wa Kwanza kutoka kulia , anaye fatia Makamu Mwenyekiti wa Istiqaama Dsm , akifuatiwa na Mkurugenzi wa Dsm Zoo , Mjumbe TAO na Al - Akhy Saleh Omar Saleh.
PICHA NA ISTIQAAMA DSM.

1 comment:

  1. Anonymous1:52 PM

    Very rapidly this web page will be famous amid all blog users, due to it's fastidious posts

    My webpage: The Tao of Badass Customer Reviews ()

    ReplyDelete