Wapo walio sujudu kumshukuru M/Mungu kwa kutoka aliyekuwa Rais wa Misri Hosn Mubaraka Jela na kupelekwa Hospital ya Jeshi ambayo atakuwa huko akitumikia kifungo cha Nje huyu ni Mmoja wa wafuasi wake.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MTANDAO WA R.N.N | شبكة رصد
No comments:
Post a Comment