Ni miaka mitatu sasa tokea kutokea kwa mapinduzi
ya Misri,, licha ya kuwepo kwa faida kubwa ya mapinduzi
hayo but na athari pia zilipatikana. miongoni mwa athari
hizo ni kutoweka kwa usalama ambao ulikuwa ni ngao kubwa
kwa taifa la Misri...
BAADA YA MAPINDUZI...
baaada tu ya uongozi wa raisi wa zamani bwana husen mubarak kuondoshwa madarakani kilicho fuata ni vipindi vya mpito..ambacho kipindi cha kwanza ni cha uongozi wa kijeshi ,, ingawaje kipindi hicho kilikuwa egemezea baraza la mawaziri lakini baraza la kijeshi ndo lilikuwa na maaamuzi kamili,, na kwakipindi hicho kulipatikana mafanikio ya kufanyika uchaguzi wa bunge na baraza la mashauriano...

YALIYO TOKEA KATIKA KIPINDI HICHO...
kumwagika kwa damu nchini misri hakukuanza jana bali katika kipindi cha mpito kulimwagika damu katika maaneo tofauti..
NA KWANINI DAMU IMWAGIKE?
kwakuwa uongozi wa zamani uliondoshewa na raia niwazi kuwa jeshi na polisi haukuwa tayari ,,hivyo basi kipindi hicho polisi wakishirikiana na usalama wataifa ulitumia mbinu kadhaaaa na kusababisha matokeo kadhaa ya umwagikaji damu...hiii ilisababishwa pia na kusambaaa silaha kiholela n,k,
KIPINDI CHA KIRAIA.....
kipindi hichi ni kipindi ambacho baraza lakijeshi lilikabizi rasmi madaraka kwa raisi mursi baada ya uchaguzi ,, pia kipindi hichi kiliitwa ni cha mpito kwa sababu bunge lilivunjwa, pili hakukuwa na katiba..
YALIYO JIRI KIPINDI HICHI...
Pia damu haikusita katika kipindi hichi bali kulionekana wazi ya vyombo vya usalama kutokiridhishwa na uongozi wa raisi mursi...kililicho fanyika ni uchochezi na mandamano ya mara kwa mara .ikifuatiwa na migomo ya wafanyakazi jambo lilipolekea taifa kushuka kiuchumi,
TOKEO LA KUSIKITISHA ZAID....
mapinduzi ya kijeshi ingawaje mapinduzi haya yalifanyika kiundani bali wana sheria na wana siasa wali baini ya kuwa si miongoni mwa democracia na kwa ajili hiyo umoja wa Afrika ume lisimamiosha taifa la misri katika umoja huo...
TOKEO LA PILI....
utumiaji wanguvu kwa waandamanaji wa walio kuwa wana muunga mkono Rais murisi jambo lililo pelekea ku uwa wa kwa maelfu ya watu na wengine kujeruhiwa.......
JEEEEE TAIFA HILI LINA KWENDA WAPI?.
IMEANDIKWA NA MDAU NDUGU Said Nassor .
No comments:
Post a Comment