PICHA ZA MUHADHARA JANA MOROGORO
Shekh Ponda akizungumza kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro |
akitambulishwa jukwaani Shekh Ponda. |
Askari wa FFU wakijisongeza kati kati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika. |
Shekh Ponda akikaribishwa kwenye jukwaa kuu baada ya kuwasili kwenye viwanja vya shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege , mjini Morogoro |
Kikosi cha FFU uwanjani |
Shekh Ponda akisalimiana na Mhadhiri wa Mihadhara nchini, Ustaadhi Abubakari |
Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya Viongozi wa umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro |
Shekhe Ponda akiwa meza kuu kwenye kongamano hilo |
Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini |
Waumini katika Kongamano hilo. |
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa mjini Morogoro wakimsikiliza Shekh Ponda |
Waumini wa Kiislamu wakitawanyika uwanjani baada ya muda wa kongamano kufikia tamati. |
No comments:
Post a Comment