Thursday, August 08, 2013

PICHA ZA SHEREHE YA EID NCHINI MISRI

Mwenyekiti wa Tanzania Student Union IN EGYPT DR HUSSEIN AFIF akiwa na Mgeni Rasmini aliyevaa kanzu pamoja na kamati yake.
 Mwenyekiti akiwa ongoza wageni katika Mambo ya Maakuli
Baada ya swala Masjidil Bouth Kwa Niaba ya timu ya blog tunawatakia Eid Njema Wadau wote.

No comments:

Post a Comment