 |
Rais wa
Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akila kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa
miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa
wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013 |
 |
Rais wa
Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akivishwa shada na medali baada ya kula
kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe
zilizofana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22,
2013 |
 |
Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akishukuru wananchi baada ya kiapo cha
kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana
katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013 |
 |
JK
akimpongeza Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe katika sherehe za
kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe
zilizofana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22,
2013 |
 |
Rais wa
Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akisalimia wanannchi baada ya kiapo cha
kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana
katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013 |
Rais wa
Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akivishwa shada na medali baada ya kula
kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe
zilizofana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22,
2013
No comments:
Post a Comment