
Waijua tofauti kati ya “Classic Arabic” na “Standard Arabic”?
Je, wajua kuwa inaweza kukuchukua muda mfupi kuongea lugha hii ambayo ni miongoni mwa lugha 5 ngumu zaidi duniani?
Ungana nami katika class yangu na ubaini maajabu katika lugha hii, na nikupe uzoefu wangu wa kuzungumza zaidi ya lugha 4 na kwa muda mfupi:
MAHALI:
1. Isatanbul Youth Centre, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
SIKU: Jumatatu, Jumanne na Jumatano, kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 10 alasiri.
0714 734 362
0754 734 362
2. World Muslim Congress, Kariakoo Dar es Salaam.
SIKU: Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, kuanzia saa 10 alasiri.
0655 342 008
AU
Wasiliana nami moja kwa moja:
0712 566 595
0763 348 213
UKIJUA LUGHA MOJA UMEMJUA MTU MMOJA, UKIJUA ZAIDI YA LUGHA MOJA UTAKUWA UMEWAJUA WATU WENGI ZAIDI.
No comments:
Post a Comment