UTALII NCHINI MISRI
 |
Pharaohs pyramids |
Picha za Sehemu za Utalii Nchini Misri hizi ni pharaohs pyramids - Giza - Cairo ni Moja katika Vitega Uchumi vikubwa vinavyo Ingizia Mapato Nchi ya Misri kwa Njia ya Utalii.
Jengo la Makumbusho lililopo Tahrir ambapo Ndani yake imehifadhiwa miili ya pharaohs( Mafirauni ) Kuingia kwa Pesa .
No comments:
Post a Comment