Sunday, September 29, 2013

CHANGAMOTO YA KIELIMU KWA KIJANA WA KIISLAM

UISLAMU NI DINI YA KISOMI NA INA WASOMI WAKE WATAFUTE NA UWAULIZE WAJUZI NA SIO KUJISEMEA YASIO KUWEMO, SOMA HII ....

Staa wa filamu, ... ambaye ni Mjamzito anadaiwa kuwa Atazaa kabla ndoa Mwezi wa Nne , Mwakani. 

Akizungumza na Mwanahabari wetu, mchumba wake , .... HAPA NDIO NAPAKUSUDIA SANA PASOME VIZURI  NAMNUKUU MUANDISHI  " Alianika aya za Kurani kuwa katika Dini ya Kiislamu si ruhusa kufunga ndoa na mwanamke ambaye ni Mjamzito kwani ni sawa na kufunga ndoa na watu wawili "

HIZO AYA ZIPI? NA AYA GANI INASEMA UKIOA MWANAMKE MJAMZITO UNAKUWA SAWA UMEFUNGA NDOA NA WATU WAWILI KATIKA UISLAM ?
HAPA UMEONGOPA ..............

Anaendelea MUANDISHI WA BLOG NAMNUKUU " hivyo anamsubiri ajifungue kwanza" . 

MANENO YA MCHUMBA WAKE “Ni kweli mchumba wangu hivi sasa ni Mjamzito na anatarajia kujifungua mapema mwezi wanne, mwakani. “Kuhusu kufunga naye ndoa kwa sasa ni Ngumu hadi ajifungue kwani kwa dini yetu (Uislam) si ruhusa kufanya hivyo lakini atakapojifungua tu tutafunga ndoa,” alisema Mchumba .

KATIKA MAELEZO HAYO YALIYO PITA UNAONYESHA UFINYU WA WATU KUTOA MAELEZO YANAYO HUSU DINI PASINA ELIMU NAYO ....

CHANGAMOTO KWA KILA KIJANA KATIKA NILIYO NUKUU NA KUANDIKA KUYATAFUTIA MAJIBU KWA MASHEIKH NA MAUSTAADH WETU MTAANI KWA MLIO FACEBOOK NAOMBA UKIPATA MAJIBU NI INBOX NA MNAONIFATILIA KUPITIA BLOG YETU YA www.kkiislamtnz.blogspot.com NAOMBA nitumie Sms kwa E-mail : kkiislam02@gmail.com.
N.B NIMETUMIA NENO MCHUMBA WAKE NI NENO LILOTUMIKA NA MUANDISHI .

SHUKRAN CHANGAMOTO YA KUZIDISHA MAARIFA KATIKA ELIMU NA UTAMBUZI WA MAMBO YA DINI .

No comments:

Post a Comment