Friday, September 13, 2013

DUA KWA WAZAZI WETU


M/Mungu awabariki Wazazi wetu Baba na Mama awape Umri Mrefu wenye kuambatana na Ibada , Afya Njema na Qabuul katika Dua zao na Mwisho Mwema , Awasamehe Wazazi wetu wengine walio Tangulia Mbele ya Haki AWAWEKE MAKAZI MEMA PEPONI na Mitume Pamoja Na Waja Wema . Amiin Amiin Amiin.

No comments:

Post a Comment