Pages
MWANZO
MAKALA
FIQH
SIRA
IJUMAA
AZHAR SHAREEF
PICHA NA MATUKIO
TASFIRI YA QUR AN
UTAMBULISHO.
LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK
Wednesday, September 18, 2013
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KATIKA HARAKATI ZA KUJENGA KUIMARISHA CHAMA WILAYA YA ITILIMA MKOA MPYA WA SIMIYU
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akinywa kahawa mara baada ya kukaribishwa na wananchi katika kijiji cha Budalabuhega wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha chama na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi katika wilaya ya Itilima mkoa mpya wa Simiyu ambapo amekagua miradi mbalimbali na kuzungumza na wenyeviti wa matawi na mashina katika vikao vya ndani ikiwa ni pamoja na kufungua mashina, Siku ya Jumatano ataendelea na ziara yake katika jimbo la Bariadi mjini.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akinywa kahawa huku Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi ndugu Nape Nnauye katikati akimiminiwa kahawa kwenye kikombe katika kijiji cha
Budalabuhega
.
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Budala Budalabuhega.
Huu ndiyo uhalisia wa maisha Mtoto huyu ambaye hakufahamika jina lake akiwa amembeba mdogo wake huku akiwa amemshika mkono mwingine katika moja ya vijiji tulivyopitia katika ziara ya leo wilayani Itilima.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipita mbele ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kanadi Wilayani Itilima.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua bweni la wasichana katika shule ya sekondari ya Kanadi huku akiongozwa na mkuu wa shule hiyo Mwalimu Samuel George.
Hili ni jengo la zahanati ya kijiji cha Nangale kata ya Ndololezi Kinana alikaguikagua pia
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na mganga mkuu wa Zahanati ya Nangale Dk. Kerenge Nyawawa wakati alipotembelea na kukagua jengo la zahanati hiyo.
Mwenyekiti wa kikundi cha wafanyabiashara wa mazao katika kata kijiji cha
Mwanihunda Kata ya migato Bw, Michael Ntulugwa akitoa maelezo kwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipokagua ghala hilo la kuhifadhia chakula lililojengwa kwa msaada wa World Vision.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto akiwa amekaa kwenye kigoda wakati alipofika kwenye shina namba 15 Shuleni Kata ya Migato, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana watatu kutoka kushoto aliyekaa akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Simiyu Ndugu Pascal Mabiti wakati alipokuwa akiongeza na wananchi katika kata ya Migato
Wana CCM wa kata ya Migato wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani wakati akizungumza nao katika shina namba 15 shuleni kata ya Migato.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Mwenyekiti wa wa shina namba 15 Bwana Michael Sama wakati akiwa katika shina hilo kwa ajili ya kuzungumza na wanachama wa shina hilo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea Fedha Taslimu shuilingi 400.000 kutoka kwa
Daud Njalu Silanga
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Simiyu wakati alipochangia SACCOS ya Shina namba 15 shuleni Kata ya Migato.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akinywa maji kwa kikombe cha kiasili cha kabila la kisukuma mara baada ya kusimikwa chifu Machibora Kinana
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana mwenye mgolole mweusi akijumuika pamoja na Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi kulia wakishiriki kula chakula cha asili ya kisukuma kinachoitwa Michembe, kutoka kushoto ni mkuu wa mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akihoji jambo kwa Afisa Elimu Wilaya ya Itilima Ndugu Rogers Shimwelekwa wakati alipotembeleaujenzi wa jengo la halmashauri ya wilaya ya Itilima leo, kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo Dk Leonard Masale na wa pili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga lipu pamoja na mafundi wakati alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya wilaya ya Itilima leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti katika eneo la Halmashauri hiyo.
Ndugu Nape Nnauye akipanda mti katika eneo la halmashauri ya Itilima
Mkutano wa ndani ukiendelea chini ya mti.
Ndugu Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Gangabilili ambayo ndiyo makao makuu ya Wilaya ya Itilima
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinanaakihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Gangabilili makao makuuu ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment