Kijana Wa Kiislam

Pages

  • MWANZO
  • MAKALA
  • FIQH
  • SIRA
  • IJUMAA
  • AZHAR SHAREEF
  • PICHA NA MATUKIO
  • TASFIRI YA QUR AN
  • UTAMBULISHO.

LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK

Thursday, September 19, 2013

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE BARIADI

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya sabasaba mjini Bariadi leo katika ziara yake ya mwisho kwenye  wilaya hiyo mkoani Mkoani Simiyu ambapo kesho atamalizia katika jimbo la Busega na kwenda moja kwa moja mkoani Mara tayari kwa kuanza ziara nyingine ya siku sita mkoani humo. 2Nape nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na uenezi akiwahutubia wananchi wa Bariadi katika mkutano huo uliofanyika mjini Bariadi .3Nape nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na uenezi  wa pili kutoka kulia akifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sabasaba mjini Bariadi leo, kulia ni Dk Titus Kamani Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu na kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bariadi Erasto Sima na Pasacl Mabiti Mkuu wa mkoa wa Simiyu.4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa Doto Nchege mwenyekiti wa kikundi cha waendesha bodaboda wa mjini Bariadi baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba mjini Bariadi 5Waendesha bodaboda wakiondoka na pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa na katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
at 9/19/2013
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MADRASATUL AMIN BLOG

MADRASATUL AMIN BLOG

FOLLOW US ON TWITTER

Tweets by @kkiislam

Tafuta Habari

Tuandikie

Name

Email *

Message *

WANA DARSA

Darsa na Habari Zilizopita

Asma-ul-Husna

WALIOTEMBELEA BLOG YETU

KALENDA

SLIDE UP DOWN

Total Pageviews

Kkiislam. Powered by Blogger.