Saturday, September 14, 2013

KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Jana alitembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kilichopo Shinyanga.
gz1Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa China nchini Lu Youqinq kuhusu mipango ya China katika kuwekeza Tanzania.gz2Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha gari maalum ya kuinulia mizigo huku akipata maelezo kutoka kwa Balozi wa China nchini Lu Youqinq alipotembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kinachojengwa mkoa wa Shinyanga.gz3Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Lu Youqinq na wawekezaji baada ya kumaliza kukagua maendeleo ya viwanda hivyo ambavyo vitaajiri maelfu ya Watanzania mara vitakapokamilikagz5Balozi wa China nchini Lu Youqinq akimkabidhi zawadi Laptop Katibu wa CCM wa Wilaya ya Shinyanga Charles Charles
Picha na Adam Mzee

No comments:

Post a Comment