Thursday, September 12, 2013

KUTOKA ZANZI NEWS , ZANZIBAR

Mkutano wa Kutathmini Uchunguzi wa Kilimo kwa Wakulima Wadogo Tanzania.


 Mtoa Mada Dkt. Oswald Mashindano, kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es- Salaam, akitowa mada kuhusu Huduma za Kifedha  katika Sekta ya Kilimo Tanzania, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni.
Mtafiti Vivian Kazi, akitowa maelezo jinsi ya Utafiti uliofanya na Taasisi yake kuhusiana na Kilimocha Wakulima Wadogo wanaolima kichi ya heka tano,






No comments:

Post a Comment