Padri wa kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar, Anselmo Mwangamba amejeruhiwa usoni na kifuani baada ya kumwagiwa tindikali na Watu wasiojulikana katika maeneo ya mlandege jioni ya Jana , akiwa akiwa katika matembezi yake.nje duka la Internet katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment