Monday, September 30, 2013

MAWAZO NA FIKRA TOKA KWA KIJANA WA KIISLAM

Naomba Niulize Swali hasa kwa wale waliopo Nje ya Tanzania kisha Nitoe Fikra zangu na Mawazo yangu Binafsi.

Swali :- Jee Mataifa Mengine ya Afrika Ukiacha Tanzania ambayo Watu wake wana Ishi Nchi za Nje Ulaya Na Afrika ... Jee na nao Wana Matawi ya Vyama vya Siasa vya Ma kwao? 

MAWAZO YANGU NA FIKRA ZANGU BINAFSI TOKA KWA MTIMA WANGU KWENDA KWA NDUGU ZANGU WOTE WALIOPO/WANAOISHI NJE YA TANZANIA.

Wengi wenu Mpo Nje Kimasomo , Kikazi , wapo wachache Kimaisha Naomba Nishauri kwamba Tujitahidi kukupambana katika kusaka Maisha ili kupata  kusaidia watu wetu Tanzania kuliko kujikita katika kufungua Matawi na kujigawa Makundi katika Mambo ambayo Uwanja wake Upo Tanzania . NI BORA KWA MWENYE KUHITAJI KUPAMBANA NA SIASA ZA TANZANIA ARUDI NYUMBANI .

Na inapotokea kufika Mgeni kutoka Tanzania Basi awe Ni Mgeni wa wote kama Mtanzania pasina kuashiria Ni Chama fulani au Taasisi fulani ili kuzidisha upendo na kumpa fikra zaidi za ki maendeleo ....

hii Ni Fikra na Mawazo Binafsi ... SHUKRAN

No comments:

Post a Comment