Saturday, September 14, 2013

MH. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUELEKEA MAADHISHO YA SIKU YA OZONE

_DSC0692[1]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano kushoto mh. Samia suluhu Hassan kwa Niaba ya waziri wa nchi wa nchi Ofisi ya makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Hufisa, akisoma hotuba kwa waandishi wa habari hawapo pichani kuelekea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la Ozone, ambayo huadhimishwa kila mwaka Sepetember 16 kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Julius Ningu (Picha na Ofisia ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment