MKUTANO WA MAAFISA WANADHIMU, MAAFISA MIPANGO NA UGAVI PAMOJA NA WAHASIBU WA JESHI LA POLISI UNAOENDELEA MOSHI MKOANI KILIMANJARO KATIKA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI
Muhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Bw. Frank Msaki, Afisa Mnadhimu wa Polisi makao makuu, kamishina msaidizi Hassan Mbezi wakifuatilia mada katika mkutano unaofanyika Moshi, Mkoani Kilimanjaro katika Chuo cha Taaluma ya Polisi. Picha naTamimu Adam, Jeshi la Polisi.Mkuu wa Maduka ya Polisi Kamishina Msaidizi wa Polisi Ally Omari akitoa mada katika mkutano unaofanyika Moshi, Mkoani Kilimanjaro katika Chuo cha Taaluma ya Polisi. Picha naTamimu Adam, Jeshi la Polisi.Wajumbe wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa katika mkutano unaofanyika Moshi, Mkoani Kilimanjaro katika Chuo cha TaalumayaPolisi.PichanaTamimu Adam, Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment