Wednesday, September 11, 2013

MUALIKO

Asalaam aleikum warahmatullah wa barakatuh, Mnatangaizwa Zaiyarh na Hawli ya Sheikh letu Sheikh Muhammad Ibn Nassor(Rahimahullah) itakayofanyika Dar Es Salaam Tanzania na baadae Zanzibar Tarehe za Ziyara ni Muharram Mwezi 11,12 na 13 ambao ni sawa na Tarehe 15,16 na 17 Mwezi wa Novemba 2013.


Kwa Niaba ya Jumuiyatul Qadiria na katibu mkuu Muhammad Ismail.

Wrote by Sidi Abou Hajirah Abdallah

No comments:

Post a Comment