MWANAMKE AKAMATWA NA SARE ZA JESHI

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Suleiman
Kova, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa juzi saa 4.00 asubuhi akiwa na
suruali saba za kombati, mashati yake saba, kofia zake 10, mashati
mawili mepesi ya ofisini, fulana mbili, kofia aina ya bareti moja, viatu
jozi tatu, ponjoo moja, koti moja, begi moja la kuweka nguo za jeshi,
cheo kimoja cha CPL na mikanda miwili ya kijeshi.
No comments:
Post a Comment