Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani
Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,baada ya mazungumzo yao leo,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,akiwa amemaliza muda wake wa kazi
Nchini. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment