Sunday, September 22, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI NEW YORK

0L7C0034
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ubalozi wa  Tanzania katika umoja wa Mataifa New York nchini Marekani wakati alipowasili New York Marekani akitokea Toronto Canada.


(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment