Friday, September 27, 2013

RAIS WA ZANZIBAR AAGWA NA BALOZI WA ADISS ABABA ETHIOPIA

IMG_2216Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini  Ethiopia Bibi Naimi S.H.Azizi ambaye alifika Ikulu Mjini Zanzibar  kumuaga leo,baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_2230Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimaiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Ethiopia Bibi Naimi S.H.Azizi   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga leo,baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment