Kijana Wa Kiislam

Pages

  • MWANZO
  • MAKALA
  • FIQH
  • SIRA
  • IJUMAA
  • AZHAR SHAREEF
  • PICHA NA MATUKIO
  • TASFIRI YA QUR AN
  • UTAMBULISHO.

LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK

Thursday, September 19, 2013

UJUMBE WA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA TANGA MH CHIKU GALAWA

Mujulizi AkikaribishwaMkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi ofisini kwake mkoani Tanga.RC akiangalia kipeperushiMkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Galawa akiangalia Kipeperushi cha Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kinachoelezea Mapitio ya Mfumo wa Utatuzi wa Migogoro Tanzania.RC Tanga akisisitizaMkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Galawa akisisitiza jambo mbele ya ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria TanzaniaUjumbe wa TumeMkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Galawa akiwa na ujumbe wa Tume ulioongozwa na Mwenyekiti Mh. Jaji Mujulizi (wa pili kushoto), Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida B. Korosso ( wa pili kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw. Peter Kalonga ( wa kwanza kushoto) na Katibu Msaidizi wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa.
RAS na TumeKatibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan akizungumza wakati Katibu Mtendaji  wa Tume Bi. Winfrida Korosso alipomtembelea ofisini kwake mkoani Tanga wakati Tume ikiwa katika Kikao chake cha Baraza la Wafanyakazi mkoani humo, Kulia ni Katibu Msaidizi wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa (Picha na Munir Shemweta- LRCT)
at 9/19/2013
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MADRASATUL AMIN BLOG

MADRASATUL AMIN BLOG

FOLLOW US ON TWITTER

Tweets by @kkiislam

Tafuta Habari

Tuandikie

Name

Email *

Message *

WANA DARSA

Darsa na Habari Zilizopita

Asma-ul-Husna

WALIOTEMBELEA BLOG YETU

KALENDA

SLIDE UP DOWN

Total Pageviews

Kkiislam. Powered by Blogger.