Wednesday, September 25, 2013

UZINDUZI WA CHAPISHO LA MGAWANYO WA IDADI YA WATU NA JINSI KWENYE SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012 WAFANYIKA LEO

IMG_5207Naibu Waziri wa Fedha Saada  Mkuya Salum akipokea chapisho la  chapisho la mgawanyo wa idadi ya watu na jinsi kwenye sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 uliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere ,jijini  Dares Salaam.IMG_5226IMG_5246Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi(katikati) akiwa katika picha ya pamoja leo wakati wa uzinduzi wa chapisho la mgawanyo wa idadi ya watu na jinsi kwenye sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 uliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere ,jijini  Dares Salaam.

No comments:

Post a Comment