ZIARA YA MHE.UMMY MWALIMU WILAYANI RUFIJI, ATEMBELEA UTETE,IKWIRIRI NA NYAMWAGA AFANYA MKUTANO WA HADHARA
Mhe.Ummy Mwalimu akipata maelezo kutoka katika kikundi cha akina mama Wajasiliamali alipowatembelea kuona bidhaa wananzozalisha.Mhe.amewataka wajasiliamali hao kujifunza mbinu za kuwasaidia kupata masoko ya kuuzia bidhaa zaoMhe.Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamwage- Kata ya Mbwala,Rufiji.Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe.Nurdin BabuBaadhi ya wananchi waliohudhuria Mkutano wa hadhara wakati ya ziara ya Mhe.Ummy Mwalimu ,wilayani Rujifi . Pichani ni mmoja wa wananchi akiuliza swaliBaadhi ya Kina mama waliohudhuria Mkutano wa hadhara wakati ya ziara ya Mhe.Ummy Mwalimu ,wilayani RufijiSehemu ya Wananfunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Rujifi wakimsikiliza Mhe.Ummy Mwalimu wakati alipowatembelea Chuoni hapo.Mhe.Ummy amesisitiza umuhimu wa Jamii inayovizunguka vyuo hivyo kuvitumia kwa maendeleo yaoMhe.Ummy katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Rufiji Mh. Nurdin Babu ,Walimu wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Rufiji, Timu ya ulinzi na Usalama ya Wilaya, na Watendaji Wakuu wa Wilaya. Baada ya kikao na Walimu wa Chuo hicho
No comments:
Post a Comment