

Mahujaji wa Kike na Wakiume wakiwa katika Maandalizi ya Mwisho ya Kuondoka leo Uwanja wa Ndege wa Dar es salaam , ambapo Msafara huu ndio wa Mwisho kuondoka Nchini Tanzania kuelekea Viwanja Vitukufu vya Makkah na Madina katika kutekeleza Ibada ya Hija. Kwa Niaba ya KKIISLAMTNZ BLOG TEAM TUNAWATAKIA SAFARI NJEMA NA HIJA YENYE KUPOKELEWA.
No comments:
Post a Comment