Sunday, October 06, 2013

Rais Dkt. Kikwete azindua mradi wa maji Njopeka


D92A2541  

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan(JICA) Bwana Onishi Yasunori wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Njopeka Wilayani Mkuranga,Mkoa wa Pwani .Mradi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzani na serikali ya Japan.D92A2610 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha Njopeka, wilayani Mkuranga muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment