
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia
uwanja wa Samora huku akishangiliwa na mamia ya wananchi wa Iringa
waliojitokeza katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana siku ya Jumatatu Oktoba
14, 2013

Rais
Kikwete akiwasili katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana siku ya Jumatatu Oktoba
14, 2013

Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara

Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula

Sehemu ya umati wa wana Iringa

Sare za sherehe zilipendeza kila mtu

Mabalozi wa nchi mbalimbali walialikwa


Meza kuu

Rais Kikwete akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio zake Bw.Juma Ali Simai

Rais Kikwete akimpongeza kiongozi wa mbio zake Bw.Juma Ali Simai baada ya kukabidhiwa risala za kila wilaya mwenge huo ulipoita mwaka huu

Rais Kikwete akihutubia wananchi

Hotuba ikiendelea

Rais Kikwete akimpa zawadi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma kwa kufanikisha sherehe hizo

Rais Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru katika picha ya pamoja na mashujaa walioukimbiza nchi nzima

Rais Kikwete akiwa na wabunge Mhe Chiku Abwao na Mchungaji Peter Msigwa katika sherehe hizo
Rais Kikwete akisalimiana na Wakuu wa Wilaya

Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda wakiwapongeza vijana waliokimbiza mwenge mwaka huu

Rais Kikwete akiwapongeza vijana wa halaiki kwa kazi nzuri

Mama Salma Kikwete anajiunga na Rais Kikwete kuwapongeza vijana wa halaiki.
No comments:
Post a Comment