Sunday, August 18, 2013

KUMBUKUMBU UZINDUZI WA MSIKITI WA MUHAJIRINA SINGIDA .
Rais mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi,akishuka kwenye gari lake.
Baadhi ya waumini wa kiislamu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa msikiti wa Muhajirina.
Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa msikiti wa Muhajirina, akiwa pamoja na baadhi ya Masheikh wa Mjini Singida , wa tatu kulia , ni Sheikh wa msikiti wa Muhajirina , Sheikh Issa Nasoro Issa.
Sheikh wa manispaa ya Singida , Sheikh Issa Simba,akitoa nasaha zake kwenye hafla ya uzinduzi wa msikiti wa Muhajirina wa Majengo.
Rais mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, akitoa nasaha zake muda mfupi kabla hajazindua msikiti wa  Muhajirina wa Majengo, Singida.
Raisi mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi,(wa nne kutoka kushoto) akielekea kuzindua msikiti wa  Muhajirina
Rais mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi,akizinduka msikiti wa Muhajirina mjini Singida. 

No comments:

Post a Comment