Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora Jana Jioni.
Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya
kuhudhuria Swala na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora leo, katika
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora Jana Jioni.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo Jana jioni.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora Jana Jioni.

Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora Jana Jioni.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo Jana jioni.
No comments:
Post a Comment