NIMEAMRISHWA NIPIGANE NA WATU
Kutoka kwa Ibn ‘UmarRadhi za M/Mungu ziwashukie Juu yao alisema kuwa Mtume Rehma za M/Mungu zimshukie Juu yake na Amani kasema :
Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washahadie kuwa hakuna Mungu isipokuwa M/Mungu Mtukufu na Muhammad ni Mjumbe wa M/Mungu Mtukufu na mpaka watakaposwali, na wakatoa zaka, na wakifanya hivyo, watakuwa wamepata himaya kwangu ya damu yao, na mali yao isipokuwa kwa haki ya Uislamu. Na hesabu yao itakuwa kwa M/Mungu Mtukufu .
Hadithi hii Imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim.
No comments:
Post a Comment