RAIS JAKAYA KIKWETE AKIHUDHURIA SWALA YA EID LEO ASUBUHI.
Mh Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akiwasili kujumuika na
Waumini wenzake wa Kiislamu katika Swala ya Eid el Fitri Msikiti wa
Alfarooq - Kinondoni Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania BAKWATA .
No comments:
Post a Comment