![]() |
Imamu wa Msikiti wa Manyema Sheikh Hamid Massoud Jongo akiongoza swala ya Eid El fitr katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo Asubuhi. |
![]() |
Imamu na Kaadhi wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Hamid Massoud Jongo akitoa Hutba baada ya Swala ya Eid katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. |
![]() | |
Profesa Ibrahimu Lipumba akifuatilia Hutba ya Swala katika Swala ya Eid Viwanja vya Mnazi |
Viongozi Mbalimbali wa Dini pamoja Kamanda wa kanda maalum Polisi .
Waumini.
No comments:
Post a Comment