Monday, August 05, 2013

RAIS  JAKAYA M KIKWETE NA MARAIS WASTAAFU MZEE MWINYI NA  MZEE MKAPA WAALIKWA FUTARI KWA KATIBU KIONGOZI.
Rais Jakaya M Kikwete akiwa pamoja na Marais wastaafu wakati wa futari iliyo andaliwa na katibu Kiongozi Nyumbani kwake Oysterbay , Dar es salaam Jumapili.
Katibu Mkuu Kiongozi akitoa neno la Shukrani kwa Viongozi na wote walio hudhuria katika Shughuli hiyo.
 Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam , SheikhAlhad Mussa Salum Naqshabandy akiongoza Dua kwa walio hudhuria katika futari hiyo aliyo iandaa nyumbani kwake Oysterbay Jumapili.

Rais Jakaya Kikwete Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa.
Wazee watatu hao
Rais Jakaya M Kikwete akiwa pamoja na Marais wastaafu wakati wa futari iliyo andaliwa na katibu Kiongozi Nyumbani kwake Oysterbay , Dar es salaam Jumapili.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment