MUALIKO
Mnaalikwa Waislam wote katika Samai itakayo fanyika Siku ya Eid baada ya swala ya Isha katika Msikiti wa Shadhuly uliopo Kariakoo , Dar es salaam.
Samai iliasisiwa na Alhabib Sayyid Muhammad bin Sharif Said Albidh na Sheikh Nurdin Hussein Alghassan Shadhily Alyashurutwiy
No comments:
Post a Comment