Friday, August 09, 2013

SWALA YA EID EL FITR KUSWALIWA LEO TANZANIA, BARAZA LA EID NA SWALA YA EID KITAIFA ITAKUWA TABORA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu maalumu za Sikukuu ya Eid baada ya Swala iliyo fanyika Kitaifa Mkoani Tabora  leo katika Uwanja wa Ali  Hassan Mwinyi.
Dkt Mohammed Gharib Bilal akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba , Mara baada ya Swala iliyo fanyika Kitaifa Kwenye Uwanja wa Ali Hasani Mwinyi leo.
Mawaidha
Waumini wa Wanawake wa Kiislam waliohudhulia Swala hiyo.
Imamu akiongoza swala ya Eid Kitaifa Mkoani Tabora leo.
Mawaidha na Nasaha baada ya Swala.
Waumini wanawake katika Eneo la Swala leo.
Mufti wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba Tabora akihudhuria Swala ya Eid Kitaifa.
Waumini Wanaume katika Picha walio hudhulia Swala hiyo ya Eid Kitaifa . TAQABALLAHU MINNA WAMINKUM  WA EID MUBARAK

No comments:

Post a Comment