WACHA KILE KINACHOKUTIA SHAKA UFUATE KILE
KISICHOKUTIA SHAKA.
Kutoka kwa Abu Muhammad Al-Hasan Ibn ‘Ali Ibn Abi Twaalib mjukuu wa Mtume (S.A.W)na kipenzi chake Radhi za M/Mungu ziwashukie wawili hao amesema :
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume (S.A.W) maneno haya: “Wacha kile kinachokutia shaka ufuate kile kisichokutia shaka”.
Imesimuliwa na At-Tirmidhi na An-Nasai, At-Tirmidhi akisema kuwa ni hadithi Hasan na Sahihi.
No comments:
Post a Comment