JK arejea Dar es salaam baada ya kuhudhuria mkutano wa 33 wa SADC nchini malawi.

Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Katibu Mtendaji wa
SADC Dkt.Stergomena Tax kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo wakati wa
mkutano mkuu wa 33 wa viongozi wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe
Malawi mwishoni mwa wiki.Wapili kushoto ni Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik aliyefika
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam kumlaki Rais na Ujumbe wake.
Picha na Fredy Maro wa Ikulu.
No comments:
Post a Comment