Thursday, September 26, 2013

Maalim Seif atia saini kitabu cha maombolezi Ubalozi wa Kenya


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitia saini kitabu cha maombolezi katika ubalozi wa Kenya nchini Tanzania kufuatia mashambulizi ya Kigaidi nchini Kenya yaliyotokea hivi karibuni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Kaimu Balozi wa Kenya nchini Tanzania George Awenour baada ya kutia saini kitabu cha maombolezi.

No comments:

Post a Comment