Kijana Wa Kiislam

Pages

  • MWANZO
  • MAKALA
  • FIQH
  • SIRA
  • IJUMAA
  • AZHAR SHAREEF
  • PICHA NA MATUKIO
  • TASFIRI YA QUR AN
  • UTAMBULISHO.

LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK

Thursday, September 26, 2013

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA KUSHEREHEKEA HUMANITARIAN CHAMPIONS AND PARTNERSHIP IN AFRICA

IMG_2823IMG_2833Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa ‘celebrating humanitarian champions and partnerships in Africa’ ulioshirikisha viongozi wa juu wa bara hilo. Mkutano huo ulifanyika huko New York nchini Marekani tarehe 25.9.2013. Kulia kwa Mama Salma ni Bwana Bekele Geleta, Katibu Mkuu wa International Federation of the Red Cross na kushoto kwake ni Mheshimiwa Aisha Abdullahi, Kamishna wa Masuala ya Siasa wa Kamisheni ua Afrika akifuatiwa na Mheshimiwa Valerie Amos, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya huduma za kibinadamu na dharura-Humanitarian Affairs and Emergency Relief. IMG_2862Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa viongozi wa juu wa Afrika ulioratibiwa na Umoja wa Mataifa na kufanyika New York tarehe 25.9.2013.IMG_2886Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na washiriki mbalimbali waliohudhuria mkutano wa kusherehekea humanitarian partnership in Africa tarehe 25.9.2013.
PICHA NA JOHN LUKUWI
at 9/26/2013
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MADRASATUL AMIN BLOG

MADRASATUL AMIN BLOG

FOLLOW US ON TWITTER

Tweets by @kkiislam

Tafuta Habari

Tuandikie

Name

Email *

Message *

WANA DARSA

Darsa na Habari Zilizopita

Asma-ul-Husna

WALIOTEMBELEA BLOG YETU

KALENDA

SLIDE UP DOWN

Total Pageviews

Kkiislam. Powered by Blogger.