MAMA SALMA KIKWETE APEWA URAIA WA HIARI WA JIMBO LA NEBRASKA NCHINI MAREKANI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea hati ya uraia wa hiari wa Jimbo la Nebraska nchini Marekani iliyotolewa na Secretary of State wa Jimbo hilo Bwana John Gale. Anayekabidhi hati hiyo kwa Mama Salma ni Dkt. Marjorie Kastelnik, Dean, College of Education and Human sciences wa Chuo Kikuu cha Nebraska nchini Marekani tarehe 28.9.2013.Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, (WAMA), Mama Salma Kikwete akitoa keynote address kwenye’ workshop on Viewing English Education through a Globalized Lens’ iliyofanyika kwenye Chuo Kikuu cha Nebraska huko nchini Marekani tarehe 28.9.2013.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Dr. Dzingai Mutumbuka, Chairman of the Association for the Development of Education in Afrika and Former Minister of Education in Zimbabwe mara baada ya Mama Salma kuhutubia mkutano Global Education huko Nebraska nchini Marekani tarehe 28.9.2013.Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mke wa Gavana wa Jimbo la Nebraska Mama Sally Ganem. Baadaye Mama Sally anaonekaqna akifanya mazungumzo na mgeni wake Mama Salma na baadaye wanaonekana wakiagana n kwenye kamazi ya Gavana huyo tarehe 28.9.2013.
No comments:
Post a Comment