JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHUMAN AFUNGUA MAFUNZO YA MAHAKIMU WAKAZI DAR ES SALAAM
Mh. Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman akiwaasa Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Afrika Mashariki inayoendelea leo katika hoteli ya Holiday Inn jijini Dar es Salaam.Mh. Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman (Kushoto) akizunguma jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Mh. Amiri Manento (kuilia) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki kwa yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn jijini Dar es Salaam.Mtaalamu wa Masuala ya Utawala bora wa UNDP Tanzania Grainne Kilcullen akiwaasa Mahakimu Wakazi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Tume za Haki za Binadamu akionea na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Mahakimu Wakazi kanda ya Dar es Salaam wakihudhuria mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn jijini Dar es SalaamMweyekiti wa Tume za Haki za Binadamu akiongea wakati ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment