Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongozana na Mhe. Bernard Membe na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula tayari kuelekea Capitol Hill kuendelea na ziara yake nchini Marekani. Rais Kikwete aliwasili Washington, DC jana Jumatano Sept 18, 2013 asubuhi akitokea California.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na Halima Mamuya pamoja na H.V. Street wamiliki wa AmeriTan International ya Louisiana.
Juu na chini ni Rais Dkt Jakaya Kikwete akijiandaa kuingia kwenye gari kuelekea Capitol Hill kuendelea na ziara yake nchini Marekani.

Gari lililomchukua Rais Dkt. Jakaya Kikwete likiondoka kuelekea Capitol Hill.
No comments:
Post a Comment