Kijana Wa Kiislam

Pages

  • MWANZO
  • MAKALA
  • FIQH
  • SIRA
  • IJUMAA
  • AZHAR SHAREEF
  • PICHA NA MATUKIO
  • TASFIRI YA QUR AN
  • UTAMBULISHO.

LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK

Wednesday, September 18, 2013

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA HUWAWEI

IMG_0018Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga  na Mkurugenzi Mkuu wa kambuni hiyo, Bw. Kenneth Luo (kulia) katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0026Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Balozi wa China nchini,  Lu Youqing  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0038Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa China nchini, Bw. Lu  Youqing  (kushoto kwake) na ujumbe wake , Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
IMG_0041Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China Nchini, Bw. Lu Youqing, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
at 9/18/2013
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MADRASATUL AMIN BLOG

MADRASATUL AMIN BLOG

FOLLOW US ON TWITTER

Tweets by @kkiislam

Tafuta Habari

Tuandikie

Name

Email *

Message *

WANA DARSA

Darsa na Habari Zilizopita

Asma-ul-Husna

WALIOTEMBELEA BLOG YETU

KALENDA

SLIDE UP DOWN

Total Pageviews

Kkiislam. Powered by Blogger.