RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NA BALOZI MDOGO WA CHINA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks,alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar kwa madhumuni ya kusalimiana na Rais. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks, alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks,baada ya mazungumzo yao,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment