Sheikh Ponda akiwa mahakamani akimsubiri Hakimu tayari kusikiliza Kesi yake katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa morogoro, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo ambapo Mahakama Ilikuwa inatoa Maamuzi kuhusu Kufutiwa shitaka moja kati ya matatu yanayomkabili Sheikh Ponda.Mahakama Imetupilia Mbali Ombi hilo na kesi itaendelea Kusikilizwa katika Mahamama hiyo. Kesi hiyo imeahiriswa Mpaka tarehe 7 November mwaka huu ambapo mahakama itaanza kusikiliza Mashahidi wa kesi hiyo.Sheikh Ponda Amerudiswa Rumande.
Mke wa sheikh Ponda akiwa mahakamani
Ulinzi ukiwa umeimarishwa mahakamani leo wakati kesi hiyo ikiendelea katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wsa morogoro
No comments:
Post a Comment