JEE NDOTO ZA BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA BAKWATA ZITATIMIA TENA AU NAZO ZIMEKUFA ?
Hili Ni Jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Msikiti na Ofisi za Kisasa Makao Makuu ya Baraza kuu la Waislamu Tanzania , Kinondoni , Dar es salaam.
Jiwe hili la Msingi liliwekwa na Mh Ally Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 17-7-2010.
Ikumbukwe kuwa Msaada wa Ujenzi huu ulikuwa utolewee na Taasisi ya WORLD ISLAMIC CALL SOCIETY, Moja ya Taasisi ambayo ilikuwa ikisimamia Maendeleo ya Waislamu chini ya Utawala wa Aliyekuwa Rais wa Libya Marehemu Muamar Gadafi.
Jee Kufa kwa GADDAFI ndio kufa kwa Ndoto ya kumiliki Ofisi za kisasa na Msikiti Mpya wa AL -GADAFFI Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania
No comments:
Post a Comment